Tag: Ujenzi
Rais: Miradi ya ujenzi inayoendelea itaufungua Mkoa wa Tanga
Rais Samia Suluhu Hassan amesema barabara, madaraja na miradi mingine ya ujenzi inayoendelea mkoani Tanga, ina lengo la kuufungua Mkoa huo kiuchumi, ...Waziri Ulega awaonya wakandarasi wazembe, ataka Ujenzi wa BRT ufanyike usiku na mchana
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameonya vikali wakandarasi wazembe wanaochelewesha miradi ya Mabasi Yaendayo Haraka (BRT), akisisitiza kuwa Serikali haitavumilia ucheleweshaji wowote ...Tanzania na China kuingia makubaliano ujenzi wa barabara ili kupunguza foleni Dar es Salaam
Katika mkakati wa kupunguza kero ya foleni jijini Dar es Salaam, Serikali inafanya mazungumzo na kampuni ya China Overseas Engineering Group Co. ...Waziri aagiza polisi kuwakamata viongozi wanaosimamia ujenzi wa kituo cha afya Geita
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ameagiza Jeshi la Polisi kuwakamata viongozi wa vijiji na Kata waliokuwa wakisimamia mradi wa ujenzi wa kituo ...Korea yaipa Tanzania mkopo wa bilioni 427 kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali Zanzibar
Serikali ya Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Korea zimesaini Mkataba wa Mkopo nafuu wa Dola za Marekani milioni 163.6 [TZS bilioni ...Serikali yaiagiza TAA kuvunja mkataba wa ujenzi wa uwanja wa ndege Songea
Serikali imeiagiza Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kuvunja mkataba na mkandarasi anayejenga jengo la abiria la kiwanja cha ndege cha ...