Tag: ujenzi wa mwendokasi
Waziri Ulega awaonya wakandarasi wazembe, ataka Ujenzi wa BRT ufanyike usiku na mchana
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameonya vikali wakandarasi wazembe wanaochelewesha miradi ya Mabasi Yaendayo Haraka (BRT), akisisitiza kuwa Serikali haitavumilia ucheleweshaji wowote ...