Tag: Ujenzi
Serikali yatoa bilioni 230 za ujenzi wa miundombinu ya shule za msingi
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imepeleka kiasi cha shilingi bilioni 230 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati ...Dkt Mpango: Zimamoto wanachelewa kufika kwa sababu ya ujenzi holela
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa rai kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kuhakikisha wanatoa huduma kwa wakati ili tija na ...Serikali yatenga bilioni 9 kukamilisha ujenzi wa vituo vya Zimamoto nchini
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga shilingi bilioni 9.93 kwa ajili ya kukamilisha miradi ya ujenzi wa vituo saba vya Jeshi ...KMC na Meridianbet Wachangia Ujenzi wa Kituo cha Polisi.
KLABU ya KMC, alimaarufu kama “KINO BOYS”, kwa kushirikiana na Mdhamini mkuu wa klabu hiyo kampuni ya Meridianbet wametoa msaada wa vifaa ...Bunge laiagiza Serikali kuharakisha ujenzi Bandari ya Bagamoyo
Bunge limeitaka Serikali kurahakisha ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ili kuhakikisha uwepo wa mizigo ya kutosha itakayosafirishwa kupitia reli ya kisasa (SGR) ...Ujenzi wa shule waharibu mazao wananchi wilayani Geita
Kaya 12 zenye mashamba katika mtaa wa Bulengahasi mji mdogo Katoro wilayani Geita zimeulalamikia uongozi wa kitongoji na kata kwa madai ya ...