Tag: ukatili kwa wazee
Wanaowatumia wazee kuomba mitaani kuchukuliwa hatua
Serikali imesema itawafuatilia na kuwachukulia hatua za kisheria watu wanaowatumikisha wazee kuombaomba mitaani. Ameyasema hayo Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake ...