Tag: umeme
Bwawa la Kariba lasitisha kuzalisha umeme wa Zimbabwe kutokana na ukame
Mamlaka ya Mto Zambezi (ZRA) imeagiza kusimamishwa kwa uzalishaji wa umeme katika Bwawa la Kariba ambalo husambaza umeme kwa mamlaka ya umeme ...Apigwa shoti akikata nguzo ya umeme kwa shoka
Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Focus Juma mkazi wa Kijiji cha Nkiniziwa Wilaya ya Nzega, mkoa wa Tabora amekamatwa kwa tuhuma ...Serikali: Gharama halisi za kuunganisha umeme mijini na vijijini ni takribani 800,000
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema gharama halisi ya kuunganisha huduma ya umeme kwenye nyumba kwa wakazi wa mijini na vijijini ni ...TANESCO: Kukosekana kwa umeme katika mikoa 14
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kukosekana kwa huduma ya umeme katika baadhi ya mikoa 14 nchi nzima kutokana na hitilafu iliyotokea ...Makamba: Tanzania kuuza umeme Afrika ifikapo 2025
Mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme ya kilovolti 400 kutoka Iringa, Tanzania hadi Zambia (TAZA) utaanza kutekelezwa Januari mwakani na ...Waziri Makamba akanusha kupanda kwa bei ya umeme
Baada ya kutokea sintofahamu kwenye mitandao ya kijamii hapo jana kuhusu kupanda kwa gharama ya bei ya umeme, Waziri aliyepewa dhamana ya ...