Tag: Umoja wa Afrika
Tanzania yashinda nafasi mbili Umoja wa Afrika
Tanzania imeshinda nafasi mbili zilizokuwa zikigombewa katika uchaguzi wa Taasisi za Umoja wa Afrika ambazo ni nafasi ya Mjumbe wa Tume ya ...Rais Samia apongezwa na mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Afrika
Rais Samia Suluhu Hassan amepongezwa na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika kwa jitihada zake za ...Tanzania yaomba kuwa makao makuu Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika
Tanzania imeomba ridhaa ya kuwa makao makuu ya Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika Kanda ya Nne (AUSC) kwa wajumbe wa ...Afrika kujadiliana na Putin kuhusu chakula kilichokwama bandarini Ukraine
Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika ambaye pia ni Rais wa Senegal, Macky Sall anasafiri kuelekea nchini Urusi kujadili mzozo wa chakula uliosababishwa ...Tanzania yapongezwa namna Bandari ya Dar inavyohudumia Afrika Mashariki
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Moussa Faki Mahamat amesema anategemea kuwa kama Tanzania ilivyokuwa kinara kwenye ukombozi wa Afrika basi ...