Tag: urais
Tume yasisitiza ACT- Wazalendo haina mgombea Urais
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesisitiza kuwa Chama cha ACT-Wazalendo hakina wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais ...Tume ya Uchaguzi yamtaka Mpina asirudishe fomu ya kugombea Urais wa Tanzania
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kimepokea barua kutoka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ikielekeza kuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia ...Suala la Mpina kugombea Urais kupitia ACT Wazalendo laibua mapya
Sakata la uteuzi wa Luhaga Mpina kuwa mgombea Urais wa chama cha ACT- Wazalendo limeendelea kushika kasi baada ya Naibu Mwenezi wa ...Mpina na wengine wapendekezwa kugombea urais ACT Wazalendo, Semu ajitoa
Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo imewapendekeza wanachama wake Aaron Kalikawe na Luhaga Mpina kuwania kugombea nafasi ya urais wa Tanzania. ...Rais Museveni kuwania urais mwaka 2026
Chama tawala cha National Resistance Movement (NRM) cha nchini Uganda kimethibitisha Rais Yoweri Museveni kuwania tena urais katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwezi ...Mapinduzi ya Kijeshi Afrika: Kwanini Majenerali huishia Ikulu?
Katika miaka ya hivi karibuni, Afrika imeshuhudia wimbi la mapinduzi ya kijeshi likivuma kutoka Afrika Magharibi hadi Kati. Hata hivyo, jambo la ...








