Tag: Utakatishaji Fedha
Rais mstaafu wa Peru ahukumiwa miaka 13 jela kwa utakatishaji fedha
Mahakama nchini Peru imemhukumu Rais wa zamani, Alejandro Toledo (74) kifungo cha miaka 13 na miezi minne jela kwa utakatisha fedha wakati ...Askari waliofukuzwa kazi Arusha washitakiwa kwa uhujumu uchumi
Askari Polisi watatu na raia watano akiwemo mfanyabiashara maarufu wa madini ya Tanzanite jijini Arusha, Lucas Mdeme (46) wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ...Mfanyabiashara Taalib Mbowe akamatwa kwa tuhuma za utakatishaji fedha
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inamshikilia kwa mahojiano mfanyabiashara na mmiliki wa Kampuni ya White Star Investiment ya jijini ...Aliyekuwa bosi wa Bohari ya Dawa ashtakiwa kwa utakatishaji wa bilioni 1.6
Waliokuwa vigogo wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) nchini Tanzania leo wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam ...






