Tag: vifo
Ajali yaua wanne akiwemo Mwenyekiti wa CCM Kilwa
Watu wanne, akiwemo Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi, Issa Kalupula (60), wamefariki dunia na wengine 28 wamejeruhiwa baada ya ...Utafiti: Kuzuiwa kwa USAID kunaweza kusababisha vifo zaidi ya milioni 14 ifikapo 2030
Utafiti umebini kuwa kupunguzwa kwa kiasi kikubwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) na uwezekano wa kuvunjwa kwa ...Vifo vya uzazi nchini vimepungua kwa asilimia 80
Rais Samia Suluhu Hassan amesema vifo vinavyotokana na uzazi kwa akina mama vimepungua kutoka vifo 530 kwa kila vizazi hai 100,000 mwaka ...Marekani yachangia kupunguza vifo vya UKIMWI na Malaria
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imenufaika na misaada kutoka nchini Marekani kwa zaidi ya miaka sita ambayo imechangia kwa kiasi kikubwa ...Watu 4,060 wamefariki kwa ajali za barabarani nchini tangu mwaka 2020
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ndani ya kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwaka 2020 hadi Desemba mwaka 2022 jumla ya ajali zilizotokea ...Timu yaundwa kuchunguza vifo vya watu wawili waliouawa na Polisi Morogoro
Jeshi la Polisi limeunda timu maalum ili kuchunguza mauaji ya watu wawili na wengine wawili kujeruhiwa katika kijiji cha Ikwambi, Kata ya ...








