Tag: vijana
Orodha ya majina ya vijana 812 waliochaguliwa kujiunga na programu ya kilimo (BBT)
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ametangaza awamu ya kwanza ya majina ya vijana 812 waliochaguliwa kujiunga na programu ya Building a Better ...Ufafanuzi wa JKT vijana 147 waliobainika na maambukizi ya VVU
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limesema idadi ya vijana 147 waliogundulika kupata maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI kambini walipata ugonjwa huo wakiwa ...Rais Samia: Vijana msisubiri Serikali itengeneze ajira
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka vijana kuacha kusubiri Serikali kutengeneza ajira badala yake kutafuta fursa zilizopo na kuzichangamkia ili nchi ...Tangazo la nafasi za kazi Jeshi la Polisi kwa vijana
[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2022/12/jkt.pdf”]Rais Samia: Vijana wengi wamekosa lishe bora
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kutokana na matatizo yanayowapata vijana wengi na kushindwa kuzaa watoto wenye afya njema, chanzo kikuu ni kukosa ...Zanzibar: Asilimia 27.4 ya Vijana hawana ajira
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali imesema idadi ya vijana wasiokuwa na ajira imefikia 109,868 sawa ...








