Tag: viongozi
Viongozi wa zamani wa Sekretarieti ya CHADEMA watangaza kujiondoa CHADEMA
Baadhi ya viongozi wa zamani wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa wakiongozwa na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Benson Kigaila wametangaza kuachana na chama ...Mnyika apewa siku mbili kujibu malalamiko ya uteuzi wa viongozi CHADEMA
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Mwanga, Lembrus Mchome, amemuomba Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika kujibu ...Waziri aagiza polisi kuwakamata viongozi wanaosimamia ujenzi wa kituo cha afya Geita
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ameagiza Jeshi la Polisi kuwakamata viongozi wa vijiji na Kata waliokuwa wakisimamia mradi wa ujenzi wa kituo ...Rais: Viongozi mnaowalangua wakulima kwenye mpunga hamtendi haki
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wanaofanya biashara ya ununuzi wa mpunga kwa kuwalangua wakulima kuacha tabia hiyo kwani hawawatendei haki wakulima. ...