Tag: viongozi
Mbunge: Misafara ya viongozi inakwamisha shughuli za wananchi
Mbunge Kunti Majala amedai misafara ya viongozi wa juu wa Serikali ambayo hutumia muda mrefu na kuwasubirisha wananchi pamoja na mabasi ya ...Rais Samia: Sifurahii kubadili viongozi, inachukua muda kuwajenga
Rais Samia Suluhu Hassan amesema hulazimika kuwabadili viongozi mara kwa mara ili kuepusha madhara zaidi kwa Serikali na wananchi ambayo yangeweza kutokea. ...Rais Samia: Mawaziri jueni mipaka ya mamlaka yenu
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi kufanya kazi kwa kuzingatia misingi iiyowekwa ikiwemo kuheshimu katiba, kujua mipaka na kutunza siri za Serikali ...Rais Samia awaonya viongozi matumizi mabaya ya fedha za Serikali
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi kuacha kutumia vibaya fedha zinazotolewa katika wilaya kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo. Ameyasema ...Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi saba
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo: i) Amemteua Mhandisi Bashir Juma Mrindoko kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Shirika la Utafiti ...Watumishi sekta ya afya wagoma Zimbabwe
Mamia ya watumishi wa umma wa sekta ya afya nchini Zimbabwe wamegoma kutoa huduma kutokana na mishahara kuwa midogo na mazingira duni ...