Tag: Virusi vya Corona
Corona: Daktari ashauri watu kutobusiana na kuvaa barakoa wakijamiiana
Daktari mwandamizi kutoka Canada amewashauri watu kutobusiana na wavae barakoa wanapojamiiana ili kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona vinavyoendelea kuisumbua dunia. Dkt. ...Madagascar hatarini kuelemewa na wagonjwa wa corona
Maafisa kutoka katika baadhi ya hospitali jijini Antananarivo, Madagascar wametahadharisha kuwa huenda maeneo ya kutoa huduma yakaelemewa na wagonjwa kutokana na kuongezeka ...Watanzania wanaosafiri nje kulipa TZS 40,000 kupimwa Corona
Serikali imeandaa mwongozo wa kuwapima wasafiri wanaokwenda nje ya nchi hususani zile zenye hitaji la kupimwa maambukizi ya COVID-19 ambapo raia wa ...New Zealand yatangaza kudhibiti corona, wananchi watakiwa kuishi kama kawaida
Serikali ya New Zealand imetangaza kuwa imedhibiti maambukizi ya virusi vya corona nchini humo, na itaondoa vizuizi vyote vilivyokuwa vimeweka kukabiliana na ...Shirika la Afya Duniani labadili msimamo wake kuhusu uvaaji wa barakoa
Shirika la Afya Duniani (WHO) limebadilisha ushauri wake kuhusu uvaaji wa barakoa, ambapo sasa limesisitiza uvaaji (wa barakoa) katika maeneo yenye watu ...Kenya yabaini uwepo wa aina (strains) tisa za virusi vya corona
Taasisi ya Utafiti wa Tiba nchini Kenya (KEMRI) imethibitisha uwepo wa angalau aina (strains) tisa za virusi vya corona vinavyosambaa nchini humo. ...