Tag: Vyama vya siasa
Burkina Faso yafuta vyama vyote vya siasa
Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso imetoa amri ya kufuta vyama vyote vya siasa, ambapo tayari vilikuwa vimesitisha shughuli zake tangu mapinduzi ...Msajili wa Vyama vya Siasa abatilisha uteuzi wa Mpina kugombea Urais ACT Wazalendo
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imebatilisha uteuzi wa Luhaga Mpina kuwa mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT ...Rais Samia akemea viongozi kujimilikisha vyama vya siasa
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa vyama vya siasa kujijadili na kujitathmini wao wenyewe kuhusu mienendo yao ndani ya vyama kwa ...Ofisi ya Msajili: Mbatia asijihusishe na siasa
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imemsimamisha James Mbatia na sekretarieti yake yote kutojihusisha na siasa ndani ya chama cha NCCR ...NCCR Mageuzi yamsimamisha Mbatia
Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi imemsimamisha Mwenyekiti wa Chama hicho, James Mbatia na Makamu Mwenyekiti Bara, Angelina Mtahiwa kutojihusisha na shughuli ...Rais Samia: Mnajigawa mafungu, mnapambana kwa ajili gani?
Rais Samia Suluhu Hassan amevisihi vyama vya siasa kuacha kupambana na Serikali na badala yake kushirikiana kufanya kazi ili kuijenga Tanzania. Ameyasema ...








