Tag: Waandishi wa habari
Waandishi wa Habari 18 washambuliwa na wanajeshi Uganda
Waandishi wa habari 18 wamedai kushambuliwa vikali na wanajeshi wa Uganda pamoja na maafisa wa kikosi cha kupambana na ugaidi katika eneo ...Mbunge ashikiliwa kwa shambulizi dhidi ya waandishi wa habari Ngorongoro
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu kadhaa akiwemo Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai kwa tuhuma za kuhusika na shambulizi ...Msigwa: Kipindi cha mpito kwa waandishi kinaisha Desemba 2021
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewakumbusha wanahabari kuwa kipindi cha mpito kinachowataka wawe na ...