Tag: Waathirika wa Corona
Serikali yafunga vituo 74 vya kutibu waathirika wa corona
Serikali imeendelea kufunga kambi/vituo vilivyokuwa vinatumika kwa ajili ya kuwaweka na kuwatibu watu wenye maambukizi ya virusi vya corona nchini, ambapo hadi ...Taarifa ya wizara afya kuhusu kupungua kwa wagonjwa wa corona Tanzania
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Mabula Mchembe amesema idadi ya watu waliopata maambukizi ya wagonjwa wenye maambukizi ya virusi vya corona ...Corona: RC Songwe wataka wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya wageni kutoka Dar na Zanzibar
Mkuu wa Mkoa wa Songwe amewataka wananchi wote wa mkoani humo kuchukua tahadhari kwa kuwa kumekuwa na wageni wengi wanao ingia Songwe ...Wizara ya afya Tanzania yaandaa maombi maalum dhidi ya janga la corona
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa kesho Aprili 22, 2020 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maombi maalum ya kuliombea taifa dhidi ya ...Waathirika wa corona Tanzania wafikia 170
Wizara ya Afya visiwani Zanzibar imetangaza ongezeko la wagonjwa wapya 23 wenye maambukizi ya virusi vya corona, hivyo kufanya idadi ya visa ...