Tag: Wafanyabiashara
Wafanyabiashara soko la Kilombero wamshukuru Rais na Gambo kwa kutatua changamoto ya maji
Wafanyabiashara wadogo maarufu kama machinga wa Soko la Namba 68, linalofahamika kama Kilombero jijini Arusha, wameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa ...Wafanyabiashara Moshi wafunga maduka kushinikiza ahadi ya Makonda
Wafanyabiashara takribani 150 wenye maduka katika Kituo Kikuu cha Mabasi Mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro, wamefunga maduka yao leo Jumanne, Julai 30, 2024, ...Rais: Tutaunda kamati kutatua changamoto za kodi kwa wafanyabiashara
Rais Samia Suluhu amesema Serikali itaunda kamati itakayoshirikisha wajumbe kutoka serikalini na sekta binafsi ili kupitia kwa undani mfumo mzima wa kodi ...Wafanyabiashara wa mafuta Kenya hali tete baada ya Uganda kuichagua Bandari ya Tanga
Wafanyabiashara wa mafuta nchini Kenya wako katika hali mbaya baada ya Uganda kusisitiza msimamo wake wa kuanza mazungumzo na Tanzania ili kuagiza ...Waziri Mkuu: Rais Samia ana lengo la kuwawekea mazingira bora wafanyabiashara
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan ina lengo la kuwawezesha na kuwasimamia ...Mwenyekiti wa wafanyabiashara Kariakoo aomba msaada wa polisi wanaohamasisha mgomo
Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Kariakoo, Martin Mbwana amesema mgomo unaoendela kwa wafanyabiashara wa Soko hilo unasababishwa na kikundi cha watu wachache wenye maslahi ...