Tag: Wafanyabiashara
Waziri Mkuu: Rais Samia anataka kuona biashara zinafanywa kwa uhuru
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema lengo la Rais Samia Suluhu Hassan ni kuona kila mfanyabiashara nchini anafanya shughuli zake kwa uhuru na ...TPA yakanusha madai ya urasimu Bandari ya Dar es Salaam
Kufuatia taarifa na malalamiko yanayotolewa na baadhi ya wafanyabiashara wakidai kuwepo kwa urasimu bandarini, hususani katika Bandari ya Dar es Salaam, Mamlaka ...Chalamila: Marufuku kulazimisha wafanyabiashara kufunga maduka ili kufanya usafi
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amewapiga marufuku watumishi wa kata na mitaa kuwalazimisha wafanyabiashara kufunga maduka yao ili kufanya usafi. ...Gwajima: Machinga wanaorudi barabarani wanatumiwa na wafanyabiashara wakubwa
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima ametoa onyo kwa baadhi ya wafanyabiashara wakubwa wanaowatumia wamachinga ...DAR: Wafanyabiashara 45,000 wamefunga biashara na kugeuka Machinga
Wakati serikali ikiwa katika harakati za kutenga maeneo maalum na kuwahamishia wafanyabiashara wadogo, maarufu Machinga kwenye maeneo hayo, imeelezwa kuwa zaidi ya ...