Tag: wafariki
Watu saba wafariki kwenye ajali Handeni, DC atoa tamko
Watu saba wamepoteza maisha na wengine 10 wamejeruhiwa kwenye ajali iliyohusisha lori na Coaster eneo la Michungwani Kata ya Segera wilaya ya ...Wawili wakutwa wameungua moto kwenye msitu wa hifadhi Korogwe
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limesema watu watatu wamefariki dunia baada ya kuungua moto katika eneo la ndani ya Msitu wa ...Wahamiaji 40 wafariki baada ya boti kuwaka moto
Wahamiaji takriban 40 wamefariki baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kutoka Cap-Haitien kwenda Visiwa vya Turks na Caicos kuungua moto katika Pwani ya ...Mashabiki wanne wa Namungo wafariki wakiifuata Yanga
Mashabiki wanne wa Namungo FC wamefariki kwenye ajali eneo la Miteja karibu na Somanga wilayani Kilwa mkoani Lindi wakati wakisafiri kutoka Ruangwa ...Mapacha wafariki baada ya nyumba kuteketea Iringa
Mapacha wa mwaka mmoja wamefariki baada ya nyumba yao kuteketea kwa moto katika Kijiji cha Magulilwa wilayani Iringa. Kamanda wa Polisi Mkoa ...Mwanza: Watu sita wafariki kwa kugongwa na gari wakifanya mazoezi
Watu sita wamefariki papo hapo na wengine 14 kujeruhiwa baada ya kugongwa na gari aina ya Toyota Hilux namba T476 DZL wakati ...