Tag: wafariki
Watu sita wafariki kutokana na virusi vya Marburg mkoani Kagera
Serikali imesema hadi sasa, jumla ya watu waliopata maambukizi ya ugonjwa wa Marburg ni tisa ambapo kati ya hao watatu wamepona akiwemo ...Watu saba wafariki ajalini Geita
Watu saba wamefariki dunia na wengine zaidi ya 10 wamejeruhiwa katika ajali ya basi la abiria kampuni ya Sheraton lenye namba za ...Watu 12 wamefariki katika ajali Dodoma
Watu 12 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 50 wamejeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha basi la abiria la kampuni ya Frester ...Watu 17 wafariki ajalini Tanga wakisafirisha maiti
Watu 17 wamefariki dunia na wengine 12 wamejeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea eneo la Magira Gereza wilayani Korogwe mkoani Tanga majira ...Watoto 18 wafariki baada ya kunywa dawa yenye ‘sumu’
Takriban watoto 18 wamefariki dunia nchini Uzbekistan baada ya kunywa dawa iliyotengenezwa na mtengenezaji wa dawa wa India Marion Biotech, kulingana na ...Makarani 10 wapoteza maisha katika kipindi cha Sensa
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi kwa mwaka 2022, Anne Makinda amesema katika zoezi la Sensa mwaka huu jumla ya Makarani ...