Tag: wafariki
Watoto 18 wafariki baada ya kunywa dawa yenye ‘sumu’
Takriban watoto 18 wamefariki dunia nchini Uzbekistan baada ya kunywa dawa iliyotengenezwa na mtengenezaji wa dawa wa India Marion Biotech, kulingana na ...Makarani 10 wapoteza maisha katika kipindi cha Sensa
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi kwa mwaka 2022, Anne Makinda amesema katika zoezi la Sensa mwaka huu jumla ya Makarani ...Watoto wafariki baada ya wazazi kuwapaka kinyesi kukausha vitovu
Watoto takribani 306 katika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama wamepoteza maisha kutokana na wazazi wao kuwapaka kinyesi cha wanyama kwenye vitovu vyao ...Watoto wanne wafariki baada ya mganga kuwasha moto kufukuza mikosi
Watoto wanne wa familia moja wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa kwa moto uliodaiwa kuwashwa na mganga wa kienyeji kwa lengo la ...Watoto watano wafariki kwa ugonjwa usiojulikana Arusha
Watoto watano wa familia moja wakazi wa kijiji cha Mswakini wilayani Monduli, mkoa wa Arusha, wamefariki dunia kwa ugonjwa ambao bado haujatambulika ...Mmoja wa mapacha waliotenganishwa afariki
Neema, mmoja wa mapacha waliotenganishwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Julai 1, 2022 amefariki dunia. Muhimbili imeeleza kuwa Neema na Rehema walifanikiwa ...