Tag: wafungwa
Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 1548
Katika kuadhimisha Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara, Rais Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa 1548, ambapo wafungwa 22 kati ...Dkt. Mpango aagiza Magereza kuondoa matumizi ya ndoo kama choo kwa wafungwa
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Jeshi la Magereza kuchukua hatua ...Mahakama Kenya yaamuru wafungwa kupewa haki ya kuzika wanafamilia wao
Mahakama Kuu nchini Kenya imeamuru wafungwa wote nchini humo kupewa haki kama binadamu wengine, ikiwemo haki ya kuhudhuria mazishi ya wanafamilia wao, ...Uwanja wa Mkapa wafungwa hadi Oktoba 2024, Serikali yaeleza sababu
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imetangaza kuufunga Uwanja wa Benjamin Mkapa na Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam mpaka pale ukarabati ...Wafungwa 691 wanasubiri adhabu ya kifo nchini
Wadau wa haki za binadamu wameitaka serikali kuondoa adhabu ya kifo na badala yake kuwe na sheria mbadala, wakieleza kuwa adhabu hiyo ...Aiomba Serikali imwajiri anyonge wafungwa
Mmoja wa washiriki wa mkutano wa haki jinai Kibaha mkoani Pwani, Ramadhan Maulid ameeleza kuwa anatamani serikali ingemuajiri ali afanye kazi ya ...