Tag: wagonjwa
Idadi ya wagonjwa wa figo Muhimbili yazidi kuongezeka
Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi amezungumza kuhusu ongezeko la wagonjwa wa kusafisha figo ambapo amesema kwa siku ...TNA: Wagonjwa wa kifafa wasipelekwe kwa waganga wa kienyeji
Chama cha Wanasayansi wa Magonjwa ya Mishipa ya Fahamu Tanzania (TNA), kimesema asilimia 75 ya watu wenye kifafa hupelekwa kwanza kwa waganga ...Wagonjwa wenye matatizo ya afya ya akili waongezeka kwa kasi
Hospitali ya Rufani ya Mkoa wa Mwananyamala imeripoti ongezeko la wagonjwa wa matatizo ya afya ya akili kutoka wastani wa watu watano ...Zimbabwe yaruhusu bangi kuuzwa kwenye maduka ya dawa
Zimbabwe imeruhusu bidhaa za katani na bangi kuuzwa kwa mara ya kwanza kama sehemu ya dawa za ziada zinazotolewa kwa wagonjwa. Mamlaka ...Utafiti: Wanaowahudumia wenye magonjwa yasiyoambukiza hatarini kupata magonjwa hayo
Utafiti wa Wataalamu kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) umebaini watu wanaotunza wagonjwa wanaougua magonjwa yasiyo ya kuambukiza (NCDs), wana ...Wagonjwa wa VVU, kisukari kufuatiliwa nyumba kwa nyumba
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha, Seleman Msumi amesema halmashauri imeunda kamati maalum kwa ajili ya kuwafuatilia wagonjwa wenye maambukizi ya ...