Tag: wakamatwa
Wadaiwa kuiba gari la wagonjwa na kulifanya la watalii Mara
Jeshi la Polisi mkoani Mara linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kuiba gari la wagonjwa (Toyota Land Cruiser) lililokuwa likitoa huduma katika ...Viongozi wa CHADEMA wakamatwa kwa mkusanyiko usio halali
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya, Masaga Pius Kaloli mkazi wa Wilaya ya Chunya na Mwenyekiti ...Wanne mbaroni kwa tuhuma za unyang’anyi wakiwa na jeneza Mabwepande
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewakamata watu wanne wanaoendelea kuhojiwa kwa tuhuma za kufanya vitendo vya unyang’anyi, uporaji ...Watu 12 wakamatwa wamejificha kwenye mapango Mwanza
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza Iinawashikilia watu 12 wanaodaiwa kuwa wahalifu, wakiwa wamejificha kwenye mapango mbalimbali yaliyomo mkoani humo, huku wakidaiwa ...Raia 14 wa Burundi wakamatwa kwa kuingia nchini kinyume cha sheria
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia wahamiaji haramu 14 raia wa Burundi waliokamatwa wakiwa wameingia nchini kinyume na sheria kwa kutumia ...Vijana 12 wakamatwa Sirari kwa kufanya fujo
Jeshi la Polisi Mkoa wa Polisi Tarime-Rorya linawashikilia vijana 12 kwa kosa la kufanya fujo na kufunga barabara katika Mji wa Sirari. ...








