Tag: wakamatwa
Watano wakamatwa kwa tuhuma za utekaji Kenya
Maafisa wa upelelezi (DCI) katika Kaunti ya Kiambu wamewakamata watu watano wanaoshukiwa kuhusika na tukio la utekaji nyara huko Ruaka nchini Kenya. ...Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, Katibu Mkuu, John Mnyika na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Joseph ...Wanaotuhumiwa kuvunja na kuiba usiku wakamatwa Rukwa
Jeshi la Polisi mkoani Rukwa limesema katika kipindi cha mwezi Julai, 2024 limekamata watuhumiwa 28 wakijihusisha na matukio ya uvunjaji hasa nyakati ...Wanne wakamatwa kwa kusambaza taarifa za watoto kutekwa
Jeshi la Polisi mkoani Pwani linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kurekodi na kusambaza taarifa za uongo kwenye mitandao ya kijamii kuhusu ...Watu 12 wakamatwa Zanzibar kwa kula hadharani kipindi cha mfungo
Jeshi la Polisi mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja linawashikilia watu 12 kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani katika kipindi hiki cha ...Watu sita wakamatwa kwa tuhuma za mauaji ya rapa AKA
Polisi nchini Afrika Kusini inawashikilia washukiwa sita wa mauaji ya mwanamuziki maarufu, Kiernan Forbes, maarufu kwa jina la AKA, pamoja na rafiki ...








