Tag: wakamatwa
Watu 8 wakamatwa kwa tuhuma za kumuua Mgambo Kilimanjaro
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linawashikilia watu nane kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya Farijara Hamis Mboya, maarufu kwa jina la ...Askari wawili wakamatwa Dar sakata la kifo cha mlinzi wa baa
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata askari polisi wawili kwa kosa la kumjeruhi kwa risasi mtu mmoja aliyefahamika ...Walioiba milioni 47 na kuficha benki wakamatwa
Jeshi la Polisi mkoani Manyara linawashikilia Juma Athumani (23) na Mariam Mbega (26) kwa tuhuma za kuvunja nyumba na kuiba TZS milioni ...Wakamatwa mkoani Pwani na vifaa vya kutengeneza fedha bandia
Watu wawili raia wa Afrika Magharibi wamekamatwa na Maofisa Uhamiaji Mkoa wa Pwani wakiwa na karatasi za kuchapisha pesa bandia, kemikali na ...Mashabiki wa Arsenal wakamatwa wakisherekea kuifunga Manchester United
Polisi mjini Jinja nchini Uganda wamewashikilia takribani wafuasi 20 wa klabu ya Arsenal waliokuwa wakisherehekea ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Manchester ...Wanahabari sita wakamatwa Sudan Kusini kwa kusambaza video ya Rais Kiir
Wanahabari sita wa Shirika la Utangazaji la Sudan Kusini (SSBC) wanashikiliwa na vikosi vya usalama vya nchi hiyo kutokana na kuonesha picha ...








