Tag: wakamatwa
Watu 11 wakamatwa kwa kusambaza taarifa za uzushi kuhusu Rais Samia
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa 11 kwa makosa ya kusambaza taarifa za uongo na uzushi zinazomhusu ...Sita wakamatwa kwa kuingiza ng’ombe 2,035 Hifadhi ya Tarangire
Jeshi la Polisi kupitia Kikosi cha Kuzuia na Kupambana na Wizi wa Mifugo na Migogoro ya Wakulima na Wafugaji nchini kwa kushirikiana ...Wakamatwa na vifaa vya wizi kutoka Bwawa la Nyerere
Jeshi la Polisi Mkoa wa kipolisi Rufiji linawashikilia watuhumiwa 65 kwa makosa mbalimbali wakiwepo wahalifu waliokamatwa na vifaa vya mradi wa umeme ...Abiria kutoka Tanzania wakamatwa India na dhahabu ya wizi 53kg
Kilo 61 za dhahabu zenye thamani ya Rand 320 milioni (TZS bilioni 9.18) zimenaswa katika visa viwili tofauti katika uwanja wa ndege ...Polisi watano wakamatwa kwa kusafirisha wahamiaji haramu
Jeshi la Polisi linawashikilia Polisi watano wa kituo kidogo cha Uyole jijini Mbeya kwa tuhuma za kula njama na kutaka kusafirisha wahamiaji ...Watuhumiwa 15 mbaroni kwa mauaji ya wafugaji Tunduma
Jeshi la Polisi kupitia Kikosi cha Kupambana na Kuzuia Wizi wa Mifugo Nchini linawashikilia watuhumiwa 15 waliohusika katika tukio la mauaji ya ...








