Tag: wakulima
Rais: Viongozi mnaowalangua wakulima kwenye mpunga hamtendi haki
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wanaofanya biashara ya ununuzi wa mpunga kwa kuwalangua wakulima kuacha tabia hiyo kwani hawawatendei haki wakulima. ...Rais: Migogoro baina ya wafugaji na wakulima haina tija kwa taifa
Rais Samia Suluhu Hassan amesema migogoro baina ya wakulima na wafugaji haina tija kwa taifa kwani inaweza kuleta machafuko na kulidhoofisha taifa. ...Maonesho ya Mboga na Matunda Qatar kuwajengea uwezo wakulima wa Tanzania
Serikali ya Tanzania kupitia taasisi zake mbalimbali na sekta binafsi itashiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Mboga na Matunda (Doha International Horticulture ...Benki ya NMB na Kampuni ya Agricom Africa waahidi makubwa kwa wakulima
Benki ya NMB na Kampuni ya Agricom Africa, wamewahakikishia wakulima nchini, kwamba ushirikiano baina ya taasisi hizo ndio mkombozi wa Sekta ya ...Wakulima wadai baadhi ya mawakala wanaficha mbegu za ruzuku
Wakulima wa mikoa ya Songwe na Mbeya, wamelalamikia kitendo kinachofanywa na baadhi ya mawakala kuficha mbolea ya ruzuku, hali inayowaletea usumbufu mkubwa. ...Wakulima watakiwa kujisajili na kupewa vitambulisho
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wakulima wote nchini kujisajili na kutambulika katika orodha ya wakulima ili kupata huduma stahiki kwa urahisi. Ameyasema ...