Tag: walimu
Waziri Kuu: Tumedhamiria kuendelea kutatua changamoto za walimu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuendelea kutatua changamoto za ...Walimu waliovuliwa vyeo kisa wimbo wa ‘Honey’ warejeshwa kazini
Walimu wakuu wawili wa shule za msingi Mlimani na Tunduma TC waliovuliwa vyeo vyao na kusimamishwa kazi kufuatia video iliyosambaa mitandaoni ya ...Mwanafunzi atolewa korodani baada ya kupigwa na walimu wake
Polisi katika Kaunti ya Kisii nchini Kenya wanawasaka walimu wa Shule ya Sekondari ya Nyabisia huko Bobasi kutokana na adhabu kali ya ...Waziri Mkuu: Msirekodi matukio na kuweka mitandaoni, pelekeeni mamlaka husika
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa jamii kuachana na vitendo vya kurekodi matukio ya kuzua taharuki na kuyarusha kwenye mitandao ya ...Walimu waongoza kwa utoro kwa asilimia 66.5
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange amesema suala la utoro kwa walimu ...Serikali kuwachukulia hatua walimu watoro
Serikali wilayani Mbeya imewatahadharisha walimu wanaotoroka kazini na kwenda kufanya shughuli zao kwamba watachukuliwa hatua kali za kinidhamu na kisheria kwa kuwa ...