Tag: walimu
Walimu wote kupewa vishkwambi vilivyotumika kwenye Sensa
Serikali imesema ili kuimarisha matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) shuleni, ina mpango wa kugawa vishkwambi vilivyotumika katika zoezi la ...Walimu waonywa kukesha kwenye vilabu vya pombe
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Sophia Mjema amekemea tabia ya baadhi ya walimu kukesha baa na kwenye vilabu vya pombe za kienyeji ...Nchi 10 duniani zinazoongoza kuwalipa walimu mishahara mikubwa
Malalamiko juu ya mishahara midogo kwa walimu yamekuwa yakisikika katika maeneo mengi duniani, lakini licha ya malalamiko hayo yapo maeneo ambayo walimu ...Walimu wawageuza wanafunzi wapenzi wao, wazazi waangua kilio
Baadhi ya waalimu wilayani Kaliua mkoa wa Tabora wamelalamikiwa na wazazi pamoja na walezi wilayani humo kwa kuwalaghai wanafunzi na kufanya nao ...Wanafunzi wanaovuta bangi wawatishia walimu, waiba nyaraka za wanafunzi wenye makosa
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Iyela jijini Mbeya wanadaiwa kuungana na wanafunzi wa shule ny ingine pamoja na vijana wa mitaani kuvuta ...