Tag: wamsaka
Polisi wamsaka mwanamke aliyemnywesha pombe mtoto
Jeshi la Polisi limesema linamsaka mwanamke aliyeonekana kwenye picha mjongeo inayosambaa katika mitandao ya kijamii akimhamasisha na kumnywesha pombe mtoto. Taarifa iliyotolewa ...Polisi wamsaka kijana anayedaiwa kuua ndugu zake Kenya
Polisi wa Ol Kalou nchini Kenya wanamsaka kijana mwenye umri wa miaka 27 anayetuhumiwa kuwaua ndugu zake na kuwajeruhi watoto wawili kwa ...Polisi wamsaka mwanamke kwa tuhuma za kumuua mchepuko wa mume wake
Polisi mjini Kisumu nchini Kenya wanamsaka mwanamke anayedaiwa kumchoma kisu na kumuua mwanamke mwingine aliyeshukiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mume ...Polisi Kenya wanamsaka Mtanzania aliyeua kisa ugali
Polisi nchini Kenya wanamsaka Mtanzania anayeshukiwa kumdunga kisu mwenzake katika eneo la uchimbaji dhahabu huko Narok nchini Kenya kisa kikidaiwa ni bakuli ...






