Tag: wanafunzi
Serikali kuongeza fursa za mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema Serikali itaongeza fursa za mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kutoka ...RC Singida aagiza kukamatwa kwa wanafunzi wa kike waliopata mimba
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego ameagiza kukamatwa kwa wanafunzi wa kike waliopata mimba wakiwa shuleni pamoja na wazazi wao na ...Dereva wa ajali iliyoua wanafunzi Arusha ashtakiwa kwa kuua bila kukusudia
Lukuman Hemed, dereva wa basi la Shule ya Msingi Ghati Memorial lililosombwa na maji na kuua wanafunzi saba jijini Arusha amepandishwa kizimbani ...Wanafunzi waliofariki katika ajali Arusha wafikia watano
Wanafunzi waliofariki kutokana na ajali ya gari la Shule ya Msingi Ghati Memorial ya mkoani Arusha katika mitaa ya Dampo Sinoni, Kata ...Wanafunzi wasombwa na maji wakiogelea mtoni
Wanafunzi wawili wa darasa la saba katika Shule ya Msingi Tumaini, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro wamefariki dunia kwa kusombwa na maji ...Wanafunzi 102 wafutiwa matokeo na NECTA
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika Novemba 2023, ambapo jumla ya watahiniwa 484,823 ...