Tag: wananchi
Waziri Bashungwa aipa NIDA miezi miwili vitambulisho viwafikie wananchi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa miezi kwa miwili Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhakikisha vitambulisho milioni ...Serikali: Wananchi milioni 26.7 wamejiandikisha uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema jumla ya wapiga kura 26,769,995 wamejiandikisha kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za ...Wananchi Gabon waunga mkono mapinduzi, Rais aomba msaada
Baada ya wanajeshi nchini Gabon kutwaa mamlaka ya nchi hiyo wakibatilisha matokeo ya uchaguzi yaliyompa ushindi Rais Ali Bongo, Rais Bongo ameonekana ...Wananchi Kigoma wafunga barabara kushinikiza ramli ili kufukuza wachawi
Jeshi la Polisi mkoani Kigoma linawashikilia watu watano wakazi wa Kijiji cha Ilagala kata ya Ilagala wilayani Uvinza mkoani Kigoma walioshiriki kufunga ...RC Homera atoa saa 24 askari wa TANAPA waliopiga wananchi wakamatwe
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera ametoa saa 24 kwa Jeshi la Polisi kuwamkamata askari wa TANAPA wanaodaiwa kuwapiga wananchi wa ...Mauaji ya Daktari Tarime: Wananchi walalamikia Jeshi la Polisi
Wakazi wa Kata ya Nyamongo, Tarime Vijijini mkoani Mara wameilalamikia Jeshi Polisi juu ya kutokuwepo kwa taarifa rasmi wala watu waliokamatwa hadi ...