Tag: wananchi
Rais Samia: Uwaziri Mkuu ni nafasi ya kulitumikia Taifa na wananchi
Rais Samia Suluhu Hassan amesema nafasi ya Uwaziri Mkuu haihitaji urafiki, undugu na ujamaa, badala yake ni nafasi ya kulitumikia Taifa. Ameyasema ...Wakulima washauriwa kufuga bundi kudhibiti panya
Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu (TPHA) umetoa wito kwa wananchi wa kuondoa imani potofu kuhusu ndege aina ya bundi na ...Waziri Bashungwa aipa NIDA miezi miwili vitambulisho viwafikie wananchi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa miezi kwa miwili Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhakikisha vitambulisho milioni ...Serikali: Wananchi milioni 26.7 wamejiandikisha uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema jumla ya wapiga kura 26,769,995 wamejiandikisha kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za ...Wananchi Gabon waunga mkono mapinduzi, Rais aomba msaada
Baada ya wanajeshi nchini Gabon kutwaa mamlaka ya nchi hiyo wakibatilisha matokeo ya uchaguzi yaliyompa ushindi Rais Ali Bongo, Rais Bongo ameonekana ...Wananchi Kigoma wafunga barabara kushinikiza ramli ili kufukuza wachawi
Jeshi la Polisi mkoani Kigoma linawashikilia watu watano wakazi wa Kijiji cha Ilagala kata ya Ilagala wilayani Uvinza mkoani Kigoma walioshiriki kufunga ...








