Tag: wananchi
Wananchi wawaua kwa mishale maofisa wawili wa Uhamiaji
Maofisa wawili wa Idara ya Uhamiaji kutoka Wilaya ya Bukombe mkoani Geita wameuawa kwa kupigwa mishale na wananchi wa kijiji cha Mtakuja ...Wananchi wachoma moto ofisi ya Kijiji na kusababisha vifo vya watu wawili
Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Ikwambi kata ya Mofu, Tarafa ya Mngeta Wilaya ya Kilombero wanadaiwa kuchoma moto ofisi ya Serikali ...Rais Samia ataka wananchi kupewa elimu ya sheria zinazotungwa
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema baadhi ya sheria hususani sheria ya ardhi za kimila zinazorotesha utekelezaji wa sheria ya ardhi ...Kikundi cha uhalifu ‘vibeberu.com’ chabaka wananchi mchana
Kikundi cha ubakaji maarufu kama ‘Vibeberu.com’ kilichopo Kijiji cha Ipinda Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya, kimezua taharuki baada ya kudaiwa kufanya vitendo ...Serikali yakaribisha maoni ya wananchi kuhusu tozo
Kamishna Msaidizi wa Idara ya Uchambuzi wa Sera wa Wizara ya Fedha na Mipango, William Mhoja amesema Serikali haina malengo ya kutoza ...Kunguni wasababisha wananchi kuuza samani zote za ndani
Baadhi ya wakazi wa eneo la Eastlands jijini Nairobi wamelazimika kuuza samani zao zote za ndani ili kujaribu kuzuia kunguni ambao wamekuwa ...








