Tag: wananchi
Wananchi Moshi waiba mita za maji na kuziuza nje ya nchi
Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Abbas Kayanda, amewaonya baadhi ya wananchi wanaoiba mita za maji na kuziuza nchi jirani. Ameyasema hayo katika ...NIDA: Kitambulisho kikiisha muda unatakiwa kujaza fomu ya kuhuisha
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imewatoa hofu Watanzania ambao vitambulisho vyao vinakwisha muda wa matumizi mwakani kuwa taarifa za utambulisho wao ...Wananchi Kenya wajitokeza kuuza figo
Hospitali Taifa nchini Kenya imesema kumekuwa na ongezeko la idadi ya watu wanaouliza na kujitolea kuuza figo zao. Katika chapisho la Facebook, ...Wanaohama Ngorongoro kwa hiari wamshukuru Rais Samia
Baadhi ya wakazi wa Ngorongoro mkoani Arusha ambao wameamua kuhama kwa hiari kwenye eneo la Hifadhi ya Ngorongoro wamemshukuru Rais Samia Suluhu ...Meya Mwanza akanusha wananchi wa milimani kuondolewa
Meya wa Jiji la Mwanza, Sima Costantine amesema hakuna mwananchi yeyote atakayeondolewa katika maeneo ya milimani hususani maeneo ya Isamilo na Igogo ...Taliban yapiga marufuku TikTok, yaeleza sababu
Baada ya hivi karibuni kundi la Taliban kupiga marufuku muziki, sinema na michezo ya kuigiza ya televisheni, kundi hilo limetoa sharti jingine ...