Tag: wanawake
Tahadhari kwa wanawake wanaotumia dawa za kusimamisha matiti
Madaktari wameonya matumizi holela ya dawa za kusimamisha matiti kwa wanawake kwa kuwa dawa hizo zinamuweka mtu katika hatari ya kupata magonjwa. ...Mambo 7 ambayo wanawake hawawezi kuvumilia kwenye mahusiano
Wanawake wamekuwa wakisifika kwa uvumilivu katika mahusiano yao. Lakini kwa wanawake walioendelea na wenye uelewa mpana kamwe hawawezi kuvumilia mambo haya yafuatayo; ...Vigezo 10 vinavyoangaliwa zaidi na wanaume kwa wanawake wanapotaka kuoa
Wanaume wengi wanapofikia hatua ya kuoa si kwamba hukurupuka na kuoa mwanamke yeyote, bali huchukua muda wao mwingi kuchunguza mambo mengi juu ...Utafiti: Wanawake huathirika zaidi na uchafuzi wa hewa kuliko wanaume
Katika utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Manitoba, Winnipeg, Kanada umebaini kuwa athari za uchafuzi wa hali ya hewa huenda zikawa kali ...Morocco: Wanawake kupewa likizo yenye malipo wakati wa hedhi
Kikundi cha haki za kijami cha shirika la Bunge la nchini Morocco kimependekeza muswada utakaowaruhusu wanawake kupewa siku za likizo ya hedhi ...Wanawake waongoza kuugua maradhi ya moyo
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imesema katika kipindi cha siku 39 kuanzia mwaka wa fedha 2022/23, imetoa huduma kwa wagonjwa ...