Tag: wanawake
Kwanini wanaume, kwa wastani hufa kwanza?
Imeelezwa kuwa wanawake huishi umri mrefu zaidi kuliko wanaume. Mwaka 2018, wastani wa umri wa kuishi ulikuwa miaka 76.2 kwa wanaume na ...Rais Samia asema Royal Tour imetoa fursa za kibiashara kwa wanawake
Rais Samia Suluhu Hassan amesema filamu ya Royal Tour imesaidia kutoa fursa za biashara kwa wanawake wajasiriamali na kuwawezesha kujiinua kiuchumi, hivyo ...Wanawake waonywa tabia ya kuazimana mawigi
Daktari bingwa wa magonjwa ya Ngozi kutoka Hospitali ya Lugalo, Dkt. Msafiri Kombo amesema kitendo cha wanawake kuchangia nywele bandia kina madhara ...Takwimu zaonesha wanawake wanaongoza matumizi ya dawa za kulevya
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limesema idadi ya wanawake wanaotumia dawa za kulevya mkoani humo inaongezeka zaidi ikilinganishwa na idadi ya wanaume. ...Ashtakiwa kwa kukutwa na sehemu tano za siri za wanawake
Salum Nkonja mkazi wa Maswa Simiyu amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa madai ya uhujumu uchumi yenye mashtaka 11 ...Wanawake wauawa, sehemu za siri zanyofolewa mkoani Mtwara
Mkuu wa Wilaya ya Masasi, Mkoa wa Mtwara, Claudia Kitta amesema wanawake watano wameuawa kikatili na watu wasiojulikana huku watatu kati yao ...