Tag: wanawake
Takwimu zaonesha wanawake wanaongoza matumizi ya dawa za kulevya
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limesema idadi ya wanawake wanaotumia dawa za kulevya mkoani humo inaongezeka zaidi ikilinganishwa na idadi ya wanaume. ...Ashtakiwa kwa kukutwa na sehemu tano za siri za wanawake
Salum Nkonja mkazi wa Maswa Simiyu amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa madai ya uhujumu uchumi yenye mashtaka 11 ...Wanawake wauawa, sehemu za siri zanyofolewa mkoani Mtwara
Mkuu wa Wilaya ya Masasi, Mkoa wa Mtwara, Claudia Kitta amesema wanawake watano wameuawa kikatili na watu wasiojulikana huku watatu kati yao ...





