Tag: wasiojulikana
Polisi: Tunachunguza mwimbaji wa Injili kudaiwa kuchukuliwa na wasiojulikana Geita
Jeshi la Polisi mkoani Geita limesema linachunguza na kufuatilia kwa ukaribu tukio la mwimbaji wa nyimbo za injili, Elisha Juma, mkazi wa ...Polisi: Tunachunguza tukio la mtia nia kudaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana Tarime
Jeshi la Polisi limesema limeanza kufanya uchunguzi tukio la mtia nia wa udiwani kata ya Sirari kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Sinda ...Geita: Auawa na wasiojulikana kisha kukatwa kiganja
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Milembe Seleman (43) mkazi wa mtaa wa Mseto ameuawa na watu wasiojulikana katika mtaa wa Mwatulole, ...





