Tag: Watanzania
Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani wathibitisha Watanzania 24 kushikiliwa na Idara ya Uhamiaji
Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani umethibitisha kuwa Watanzania 24 wanashikiliwa na Mamlaka ya Uhamiaji na Forodha ya Marekani (ICE) kwa kuishi nchini ...Rais Samia: Tusikubali kugawanywa kwa sababu za kisiasa
Rais Samia Suluhu Hassan amewasihi Watanzania kuwakataa wale wote wanaotaka kuligawa Taifa kwa sababu za kisiasa au tofauti za kiitikadi kwa ajili ...Kwanini Watanzania wengi hawakimbilii fursa za ajira nje ya nchi tofauti na mataifa mengine ya ...
Katika bara la Afrika, kuna mtindo wa watu kuhama kutoka nchi zao kwenda nchi za nje kutafuta maisha bora. Hata hivyo, Watanzania ...Rais Samia awasihi Watanzania kufuata misingi bora ya Hayati Rais Mwinyi
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ataendelea kuyaishi na kuyaenzi maono ya Rais Mstaafu, Hayati Ali Hassan Mwinyi kwa kusimamia ustawi wa wananchi, ...Watanzania 22,000 walifariki kwa UKIMWI 2023
Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema vifo vitokanavyo na UKIMWI vimepungua kwa mwaka 2023 kufikia vifo 22,000, ikilinganishwa na vifo 29,000 vilivyotokea ...Rais Samia: Watanzania changamkieni fursa za ukuaji wa Kiswahili duniani
Rais Samia Suluhu Hassan amewahakikishia Watanzania kuwa serikali imeweka mikakati ya kuhamasisha Watanzania wenye ueledi katika lugha ya Kiswahili kuchangamkia fursa zitokanazo ...