Tag: Watanzania
Abiria kutoka Tanzania wakamatwa India na dhahabu ya wizi 53kg
Kilo 61 za dhahabu zenye thamani ya Rand 320 milioni (TZS bilioni 9.18) zimenaswa katika visa viwili tofauti katika uwanja wa ndege ...Mufti awashauri Watanzania kuacha dhambi ili mvua zinyeshe
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amewaasa Watanzania kupunguza na kuacha kabisa kutenda dhambi na badala yake wamrudie Mwenyezi Mungu ili kuwaepusha ...Watanzania wafanya maajabu Australia’s Got Talent
Wanasarakasi wawili kutoka Tanzania, Ibrahim Ramadhani (36) na Fadi Ramadhani (26) wanaojulikana kama ‘The Ramadhani Brothers’ wamewashangaza watazamaji katika kipindi cha Australia’s ...Watanzania 900 wapata kazi nchini Saudi Arabia
Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, Ali Mwadini amesema zaidi ya Watanzania 900 mwaka huu wamepata fursa ya kwenda kufanya kazi nchini ...Serikali: Watanzania wamechoka kuona Taifa Stars ikifungwa kila siku
Serikali imesema imeandaa mpango wa kusaka vipaji vya Watanzania kwenye maeneo yote ya nchi vitakavyoleta mabadiliko katika timu ya taifa kutokana na ...Asilimia 64 ya Watanzania waridhishwa na matumizi ya tozo- TWAWEZA
Shirika lisilo la Kiserikali la TWAWEZA East Africa limezindua ripoti ya matokeo ya utafiti mpya wa Sauti za Wananchi ulioangazia maoni na ...