Tag: watoto
Watoto wawili wauawa Mara, chanzo imani ya kishirikina
Watoto wawili wa familia moja wamefariki katika tukio la mauaji lililotokea Kijiji cha Rung’abure, Wilaya ya Serengeti, mkoani Mara, ambapo chanzo kinadaiwa ...Mama ashikiliwa tuhuma za kuua watoto wake watatu wakiwemo pacha
Polisi wa Mlolongo, Kaunti ya Machakos nchini Kenya wanamshikilia mwanamke aitwaye Linet Mubaba, anayedaiwa kuwapa sumu watoto wake watatu baada ya kutokea ...Mmiliki wa kituo cha watoto Kibaha jela maisha kwa kubaka watoto
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kibaha imemhukumu kifungo cha maisha jela Stephano Anyosisye Mwasala (35), aliyekuwa mmiliki wa kituo cha kulea watoto wanaoishi ...Serikali yatenga bilioni 11 usajili wa watoto NIDA
Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema inafanya maandalizi ya kusajili watoto wenye umri wa chini ya miaka 18 ...Utafiti: Watoto wanaotazama televisheni na simu kwa muda mrefu hatarini kupata magonjwa ya moyo
Watoto wanaotumia muda mwingi wakitazama skrini kama simu au televisheni wapo kwenye hatari kubwa ya kupata magonjwa ya moyo, matatizo ya metaboli ...Ahukumiwa jela maisha kwa kulawiti watoto, adai alikosa pesa za kuwalipa ‘dada poa’
Mahakama ya Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza imemhukumu kifungo cha maisha jela Isacka Masheku (33), mkulima na mkazi wa kijiji cha Malya, ...








