Tag: watoto
Watoto wamzika baba yao mzazi akiwa hai
Mzee Florence Komba (78) mkazi wa Kijiji cha Mahanje Halmashauri ya Madaba mkoani Ruvuma, amefariki dunia baada ya kuzikwa akiwa hai na ...Wanaume washauriwa kusimamia wake zao wanyonyeshe
Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Huduma na Lishe wa Wizara ya Afya, Dk Grace Mosha amewataka wanaume kuwashauri na kuwasimamia wake ...Wazazi watelekeza watoto, Baba aoa na mama aolewa na mtu mwingine
Mkuu wa Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro, Ngollo Malenya ameliagiza Jeshi la Polisi wilayani humo kuwasaka na kuwakamata Thomas Ulanda pamoja na ...Watoto watano wafariki kwa ugonjwa usiojulikana Arusha
Watoto watano wa familia moja wakazi wa kijiji cha Mswakini wilayani Monduli, mkoa wa Arusha, wamefariki dunia kwa ugonjwa ambao bado haujatambulika ...Raia wa China anaye wakaririsha na kuwarekodi watoto nyimbo za ubaguzi akamatwa
Msanii wa filamu kutoka nchini China, Lu Ke ambaye aliyekuwa akitafutwa na serikali ya Malawi kwa tuhuma za kuwakaririsha na kuwarekodi watoto ...Fahamu dalili na namna ya kujikinga na Homa ya Nyani (Monkeypox)
Wizara ya Afya imetoa tahadhari juu ya mlipuko wa ugonjwa wa Homa ya Nyani (Monkeypox) ambao umetamalaki nchi mbalimbali duniani. Naibu Waziri ...