Tag: watu watano
Watano wakamatwa kwa tuhuma za utekaji Kenya
Maafisa wa upelelezi (DCI) katika Kaunti ya Kiambu wamewakamata watu watano wanaoshukiwa kuhusika na tukio la utekaji nyara huko Ruaka nchini Kenya. ...Watu watano washikiliwa kwa tuhuma za mauaji Tabora
Jeshi la Polisi linawashikilia watu watano kwa tuhuma za mauaji ya Castory Casian Madembwe, mtumishi wa TAASAF na mkazi wa Ipuli mkoani ...




