Tag: watumishi
Waziri Ulega awasimamisha kazi wasimamizi wa mizani kupisha uchunguzi
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi kuwasimamisha kazi wasimamizi wote wa mizani waliokuwa zamu katika mizani ...Waziri Mkuu aagiza watumishi Kigamboni wafikishwe mahakamani kwa ubadhirifu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameelekeza kufikishwa mahakamani mara moja kwa maafisa wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni na watumishi wanne wa ...Majaliwa aagiza watumishi wanne wa TRA waondolewe kutokana na dharau
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza Afisa Mfawidhi wa Kituo cha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) cha Mutukula, Feisal Nassoro na wenzake watatu ...Mkuu wa Wilaya ashitakiwa kwa kutusi na kuwaweka mahabusu watumishi
Mkuu wa Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro, Dkt. Julius Ningu ameshitakiwa katika Baraza la Maadili kwa tuhuma za kutoa lugha za matusi, ...Watumishi wa afya wasimamishwa kazi tukio la watoto njiti kung’olewa macho
Kufuatia tukio la vifo vya mapacha wawili njiti waliodaiwa kuuawa huku wakinyofolewa macho, kuchunwa ngozi ya paji la uso na kukatwa ulimi mara ...Rais Samia: Ondoeni watumishi wanaobabaisha
Rais Samia Suluhu Hassan amesema watu wanaotengeneza fitina ndani ya Serikali kwa sababu watu wao wamekosa tenda mbalimbali za Serikali wanakwamisha miradi ...