Tag: watumishi
Majaliwa aagiza watumishi wanne wa TRA waondolewe kutokana na dharau
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza Afisa Mfawidhi wa Kituo cha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) cha Mutukula, Feisal Nassoro na wenzake watatu ...Mkuu wa Wilaya ashitakiwa kwa kutusi na kuwaweka mahabusu watumishi
Mkuu wa Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro, Dkt. Julius Ningu ameshitakiwa katika Baraza la Maadili kwa tuhuma za kutoa lugha za matusi, ...Watumishi wa afya wasimamishwa kazi tukio la watoto njiti kung’olewa macho
Kufuatia tukio la vifo vya mapacha wawili njiti waliodaiwa kuuawa huku wakinyofolewa macho, kuchunwa ngozi ya paji la uso na kukatwa ulimi mara ...Rais Samia: Ondoeni watumishi wanaobabaisha
Rais Samia Suluhu Hassan amesema watu wanaotengeneza fitina ndani ya Serikali kwa sababu watu wao wamekosa tenda mbalimbali za Serikali wanakwamisha miradi ...Watumishi Tanga wasimamishwa kazi kwa kuchelewa kufika eneo la ajali
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba amewasimamisha kazi watumishi wa umma wawili ili kupisha uchunguzi wa sababu za kuchelewa kufika katika ...Mhagama: Tunasubiri taarifa juu ya wateule ‘waliogomea’ ukuu wa wilaya
Kufuatia taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kugoma kula kiapo baada ya kuteuliwa na Rais Samia Suluhu ...