Tag: watumishi
Rais Samia: Ondoeni watumishi wanaobabaisha
Rais Samia Suluhu Hassan amesema watu wanaotengeneza fitina ndani ya Serikali kwa sababu watu wao wamekosa tenda mbalimbali za Serikali wanakwamisha miradi ...Watumishi Tanga wasimamishwa kazi kwa kuchelewa kufika eneo la ajali
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba amewasimamisha kazi watumishi wa umma wawili ili kupisha uchunguzi wa sababu za kuchelewa kufika katika ...Mhagama: Tunasubiri taarifa juu ya wateule ‘waliogomea’ ukuu wa wilaya
Kufuatia taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kugoma kula kiapo baada ya kuteuliwa na Rais Samia Suluhu ...Watumishi wasiokwenda likizo wanaiibia Serikali
Ofisa Utumishi wa Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, Fortunatus Mabula amewaonya watumishi kuacha tabia ya kutokwenda likizo kwani kwa kufanya hivyo ni ...RC Sendiga apiga marufuku watumishi kuhama mkoa wa Rukwa
Katika hatua ya kukabiliana na changamoto ya upungufu wa wafanyakazi mkoani Rukwa, Mkuu wa Mkoa, Queen Sendiga amepiga marufuku kwa watumishi hususani ...Watumishi wa afya walioonekana wakibishana wasimamishwa kazi
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Uyuwi, Dkt. Kija Maige amemsimamisha kazi Muuguzi Mkunga, Rose Shirima na Mtekenolojia wa Maabara, James Getogo wa ...








