Tag: watumishi
Majina ya watumishi watano waliosimamishwa kazi wilayani Mbulu
Waziri TAMISEMI, Innocent Bashungwa amewasimamisha kazi maafisa watano Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara ili kupisha uchunguzi kwa kuisababishia halmashauri hasara ...Bashungwa awaonya watumishi wanaojihusisha na siasa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa ametoa onyo kali kwa wataalamu na watumishi ...Watumishi sekta ya afya wagoma Zimbabwe
Mamia ya watumishi wa umma wa sekta ya afya nchini Zimbabwe wamegoma kutoa huduma kutokana na mishahara kuwa midogo na mazingira duni ...Watatu wafukuzwa kazi kwa kuchelewesha kivuko Kigamboni
Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) umewafukuza kazi watumishi watatu wa kivuko cha Magogoni-Kigamboni, Dar es Salaam kwa kuchelewesha kivuko kwa ...