Tag: wauawa
Wanaume wawili waliovalia mavazi ya kike wauawa na Polisi katika tukio la ujambazi Mwanza
Watu wawili wa jinsia ya kiume wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wameuawa eneo la Kabambo, Kata ya Kiseke, Tarafa ya Ilemela mkoani Mwanza ...Wanawake wawili wauawa Geita, mmoja akatwa sehemu za siri
Watu wawili ambao wote ni wanawake waliotambulika kwa majina ya Bigile Mweshemi (53) Mkazi wa Kijiji cha Nyabulanda na Melesiana Shija (70) ...Mauaji watu saba Kigoma chanzo ni wivu wa mapenzi, mtuhumiwa akamatwa
Jeshi la Polisi mkoani Kigoma linamshikilia Peter Mors, mkazi wa Mlole Kata ya Mwanga Kaskazini, kwa tuhuma za mauaji ya watu saba ...Wanawake wauawa, sehemu za siri zanyofolewa mkoani Mtwara
Mkuu wa Wilaya ya Masasi, Mkoa wa Mtwara, Claudia Kitta amesema wanawake watano wameuawa kikatili na watu wasiojulikana huku watatu kati yao ...